Please use this identifier to cite or link to this item: http://ir-library.mmust.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/1975
Title: Mielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya Walimu wa Kiswahili wa Shule za Msingi Katika Kaunti ya Siaya
Authors: Wanyonyi, Erick
Mohochi, Ernest S.
Odeo, Isaac Ipara
Keywords: Mielekeo, Lugha, Ruwaza, Matumizi, Lugha, Walimu, Kiswahili, Shule, Msingi
Issue Date: Jul-2020
Publisher: Journal of Education and Practice
Abstract: Makala haya yalichunguza na kubainisha mielekeo ya walimu wa kiswahili katika shule ya msingi za kaunti ya Siaya. Aidha, ruwaza zao za matumizi ya lugha zilipambanuliwa. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji. Wasailiwa 34 waliteuliwa kutoka kaunti sita za Siaya.
URI: http://ir-library.mmust.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/1975
Appears in Collections:Journal Articles



Items in DSpace are protected by copyright, with all rights reserved, unless otherwise indicated.