Mielekeo ya Lugha na Ruwaza za Matumizi ya Lugha ya Walimu wa Kiswahili wa Shule za Msingi Katika Kaunti ya Siaya
Date
2020-07Author
Wanyonyi, Erick
Mohochi, Ernest S.
Odeo, Isaac Ipara
Metadata
Show full item recordAbstract
Makala haya yalichunguza na kubainisha mielekeo ya walimu wa kiswahili katika shule ya msingi za kaunti ya Siaya. Aidha, ruwaza zao za matumizi ya lugha zilipambanuliwa. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji. Wasailiwa 34 waliteuliwa kutoka kaunti sita za Siaya.
Collections
- Journal Articles [393]