Show simple item record

dc.contributor.authorWekesa, Winnie Musailo
dc.contributor.authorSimiyu, Fred Wanjala
dc.contributor.authorOpande, Nilson Isaac
dc.date.accessioned2021-12-31T09:01:24Z
dc.date.available2021-12-31T09:01:24Z
dc.date.issued2020-08-31
dc.identifier.urihttps//doi.org/10.37284/eajss.2.2.193
dc.identifier.urihttps://journals.eanso.org/index.php/eajss/article/view/193/141
dc.identifier.urihttp://ir-library.mmust.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/1971
dc.description.abstractUtafiti ulilenga kubainisha vipengele maalum vya Fasihi Simulizi vinavyooana na hali katika taaluma ya Sheria. Utafiti uliegemea uendeshaji wa kesi kitamaduni miongoni mwa jamii ya Babukusu. Ili kuafikia lengo hili utafiti ulitumia mbinu ya kithamano ya utafiti. Idadi lengwa ya utafiti ilikuwa jumla ya kesi za kitamaduni tulizohudhuria na kuzirekodi. Utafiti ulijumuisha michakato miwili ya uteuzi wa sampuli; ikiwa ni uteuzi sampuli kimaksudina kinasibu. Uteuzi wa sampuli kimaksudi ulitumiwa kuchagua Chifu, naibu wa Chifu, mwenyekiti wa baraza la wazee na makala maalum yaliyoandikwa kuhusu Fasihi Simulizi na Sheria. Nao uteuzi wa sampuli kinasibu ulitumiwa kuteua mabaraza ya wazee na ya Chifu tulioyahudhuria.Waaidha, uchunguzi ulihusisha mbinu za uchambuzi wa yaliyomo, usailina uchunzaji-shiriki. Njia hizi zilitumika kukusanya data nyanjani na maktabani. Matokeoya utafiti yalichanganuliwa kithamano. Hii ni mbinu ya kuchanganua data ambayo mtafiti anaeleza na kufafanua matokeo ya utafiti wake kimaelezo. Kwa mujibu wa kesi tulizohudhuria, utafiti ulibaini kuwa kuna vipengele vya Fasihi Simulizi ambavyo vinaoana nahali ilivyo katika taaluma ya Sheria wakati wa uendeshajikesi kitamaduni miongoni mwa jamii ya Babukusu. Kwa hivyo ni muhali kusema kuwa matini za Kifasihi Simulizi huwa zinachota, kunukuu, kugeuza, kuiga kwa namna ya kufumba, kubeza au kurejelea kwa njia moja ama nyingine matini za Kisheria. Hali kadhalika tanzu zenyewe za Fasihi Simulizizinaingiliana na kuchangiana katika kutimiza mahitaji ya jamii kupitia shughulimbalimbali.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherEast Afriacan Journal of Swahili Studiesen_US
dc.subjectVipengele, Fasihi, simulizi, vinayoona, Hali, katika, Taaluma Sheriaen_US
dc.titleVipengele vya Fasihi Simulizi Vinavyooana na Hali Katika Taaluma ya Sheriaen_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record